HAYA JAMANI HIZI NI MALI MPYA ZINATARAJIA KUINGIA DUKANI KUANZIA MWEZI UJAO.

Karibuni saaana!!! wahi size yako kuna kila aina ya nguo,tops,blouses,skirts,jeans, max dresses, knee shorts, na linen shorts. Pia kuna viatu vya kila aina na bags kwa picha zaidi endelea kutembelea blog hii kila siku.Asanteni sana!!!







NELSON MANDELA 90th BIRTHDAY CONCERT.

Here is the Birthday boy
Nelson Mandela
Of course, the most important attendee of the event was Nelson Mandela himself, who said he was "honoured" to be back in London. But he added: "While there is poverty and sickness including Aids, where human beings are being oppressed, there is more work to be done."
Jamani watu kama hawa ndio wanaostaili kuishi humu duniani kama kungekuwa na uwezekano huyu babu na mwl. Baba wa taifa wangeishi milele hapa duniani.

Madiba na Winne siku ya harusi yao hata sijui ilikuwa ni mwaka gani, jamani wadau kuna mtu yeyote anajuwa ilikuwa ni mwaka gani?
Leona Lewis, oh Leona our homegrown talent Leona proved she had a mighty pairof lungs on her as she belted out Bleeding loveto the appreciative crown,kwa sauti tu dada mungu kakujalia hongera sana.
Jamelia The cheeky-looking songstress also performed at the open air event-while showing off the results of her training for the ironman contest ok,the ironman bit isn't true.
Sugarbabes and spice (girl Geri),and all things nice ....The gorgeous trio joined Geri in upping the girlband contingent of past and present at the bash,nawaona wametoka chicha ile mbaya.


NEW AT PASSION 4 FASHION

Mali mpya kuanzia mwezi ujao itakuwa dukani,kwa wale kina dada waliokuwa wakitaka mavazi ya ofisini na wengi mliokuwa mkitaka size kubwa 16, na 18 /20 nimetekeleza maombi yenu kwa sasa zipo za kumwaga kuna kila aina ya nguo karibuni sana.













NELSON MANDELA'S BIRTHDAY DINNER


Operah-Winfrey with Madiba





WAPENZI WOTE WA BLOG HII NAWATAKIA WEEKEND NJEMA.Vitu kama hivi jitahidi uvipate!!!

Uki mix na hii high heel sporty 2strap sandal leather unatoka chicha!!
PRINT PROM DRESS, Haya mashost wangu mambo ya kulipuka hayo kama una kamtoko weekend hii angalia viwalo hapa na jipatie chako.

BET AWARDS RED CARPET 2008 IN LA









BET AWARDS RED CARPET 2008 IN LA



for those of you that like to feel free and hang out at weekend



if you have the figure this is for you hang what you have just right


Star by Julien Macdonald

it party night at your local night club be cool with this nice little number

kwa wale kinadada waliokua wakitaka blouse za ofisini nazo zipo...


chaguo ni lako hapo

bright pink self stripe shirt


Red Herring


Petite black and white spotted dress

mambo ya kupendeza hayo warembo mpo? nawatakia weekend njema.







Red chiffon layered dress









ladies days

A model arrives wearing a bespoke hat by designer Louis Mariette with Ladies Day attracting a wide range of outfits




Haya fashion za kofia hizo wadau hiyo ni kofia mimi nilipomuona kwa mbali nilizani kabeba kijizigo cha maua kichwani, kumbe ni kofia kavaa tena kofia yake naona ilikuwa nzito imetulia kichwani japokuwa upepo ulikuwa mkali.





lady helen mirren alias the queen in an outfit made for a queen
you might remmember her in the film
THE QUEEN



Nampenda huyu mama jamani kapendeza sana... mpaka namtamani na tabasam lake.




at high winds even some of us have problems with the latest in hat wear
as this lady is finding out


upepo ulikosesha raha kila mtu alikuwa akihangaika kuzuwia kofia yake isidondoke au kupeperushwa na upepo,lakini fashion shoo ilipendeza saaana...ilikuwa kila mwanamke ukimuona kapendeza na anavutia.





Plenty of well known faces make the trip to ladies days with Bruce Forsyth and wife Wilnelia Merced enjoying their day out


for these who dont know who our bruce is he is famous for nice to see you nice,game show etc
lady in yellow and black fashion polisi kapendeza kweli na yeye na kijibabu chake




Fellow entertainer Cilla Black is also in attendance and has trouble keeping her hat in place as the wind picks up



unajua ilikuwa kama ka fashion vile kila mtu alikuwa kashika kichwani kila unaemuona kasoro bibi yeye nazani alisha zizowea wala hakuwa na wasiwasi na kofia yake.



The Royal procession makes its way towards the parade ring in beautiful sunshine with the Queen wearing a pale blue outfit, bibi yeye wala hana wasiwasi na kofia yake zilishamzowea kila siku ziko kichwani.


THE REAL QUEEN ELIZABETH II



a better day at ladies days another fine example of famous hat wear

Hapa sina lakuongeza picha inajieleza.


 

FREE HOT VIDEO 1 | HOT GIRL GALERRY 1

FREE HOT VIDEO 2 | HOT GIRL GALERRY 2

FREE HOT VIDEO 3 | HOT GIRL GALERRY 3

FREE HOT VIDEO 4 | HOT GIRL GALERRY 4

FREE HOT VIDEO 5 | HOT GIRL GALERRY 5

FREE HOT VIDEO 6 | HOT GIRL GALERRY 6

FREE HOT VIDEO 7 | HOT GIRL GALERRY 7

FREE HOT VIDEO 8 | HOT GIRL GALERRY 8

FREE HOT VIDEO 9 | HOT GIRL GALERRY 9

FREE HOT VIDEO 10|HOT GIRL GALERRY 10

FREE HOT VIDEO 11|HOT GIRL GALERRY 11