

Nampenda huyu mama jamani kapendeza sana... mpaka namtamani na tabasam lake.
as this lady is finding out
upepo ulikosesha raha kila mtu alikuwa akihangaika kuzuwia kofia yake isidondoke au kupeperushwa na upepo,lakini fashion shoo ilipendeza saaana...ilikuwa kila mwanamke ukimuona kapendeza na anavutia.

for these who dont know who our bruce is he is famous for nice to see you nice,game show etc
lady in yellow and black fashion polisi kapendeza kweli na yeye na kijibabu chake

unajua ilikuwa kama ka fashion vile kila mtu alikuwa kashika kichwani kila unaemuona kasoro bibi yeye nazani alisha zizowea wala hakuwa na wasiwasi na kofia yake.
The Royal procession makes its way towards the parade ring in beautiful sunshine with the Queen wearing a pale blue outfit, bibi yeye wala hana wasiwasi na kofia yake zilishamzowea kila siku ziko kichwani.
THE REAL QUEEN ELIZABETH II


0 comments:
Post a Comment