|
---|
|
---|
CORNER YETU YA UREMBO NA MAVAZI MAMBO NI SIMPLE!!
Leo warembo wangu ni tshirt,yellow in white,white linen cropped trousers na white sandals kivazi hiki ni size 14 nzuri sana kwa hali ya hewa ya bongo karibu sana !!!!!
HI THERE, I'M DELIGHTED TO BE ABLE TO OFFER THIS ABSOLUTELY STUNNING OUTFIT FROM P4F
This beautiful outfit, ni size 16 pia kwa mtu ambae anavaa size 14 kubwa inaweza kumtosha kabisa, so come on girls don't let it go!!!! Please email for details kama unataka kujua kuhusu bei usisite kuniandikia nashindwa kuweka bei ya kila kimoja inanichukua muda p'se utapata majibu haraka karibu sana.