Ama kweli duniani kuna mambo lo! hii imekaaje wadau hivi kweli hata hao wanaharakati wakupigania haki za watoto wanakubaliana na hii kweli jamani? bibi miaka 70 kwenda kuzaa kweli hata kama walikuwa wanatafuta mtoto wa kiume ndio kwa umri huo jamani mimi binafsi napinga kwa nguvu zote tena nasema hao ni ma selfish sijui nyinyi wenzangu mnasemaje.
|
|---|
|
|---|
HABARI NDIO HIYO, HUKO INDIA BIBI WA MIAKA 70 KAJIFUNGUA WATOTO MAPACHA WA KIKE NA WAKIUME.
Posted by
kopor
on Sunday, July 13, 2008
/
Ama kweli duniani kuna mambo lo! hii imekaaje wadau hivi kweli hata hao wanaharakati wakupigania haki za watoto wanakubaliana na hii kweli jamani? bibi miaka 70 kwenda kuzaa kweli hata kama walikuwa wanatafuta mtoto wa kiume ndio kwa umri huo jamani mimi binafsi napinga kwa nguvu zote tena nasema hao ni ma selfish sijui nyinyi wenzangu mnasemaje.

0 comments:
Post a Comment