Hello every one, check out my other items other disigners, all sizes new stock in shop every day here... mashost wangu naomba niweke wazi kama kuna kitu umekiona hapa umekipenda na ni size yako basi naomba uwasiliane na mimi au wahi dukani kwasababu ziko pc moja moja tu, ukiwahi poa ukichelewa ukienda dukani hakipo ndio hakipo tena, usije ukalaumu kwamba umekuta hakipo, pamba zetu ni moto kwa wale wanao bahatika kuzipata wanakubaliana na mimi kwa hiyo wahiii!
|
---|
|
---|
0 comments:
Post a Comment