Hello,
Mambo my dear mimi ninashida na naomba unishauri jamani maana mi nina oil skin san japo sina chunusi ila nina Dermatosis papulosa nigra, ukigoogle unaweza kuiona na kutoa ushauri nifanyeje na kila nikiangalia website yako nakutana na wadada/wamama nyuso zao ziko bring bring kweli. Huwa nikipaka make up inakaa vizuri na havionekani tatizo make up yenyewe hata powder haikai muda mrefu. Naomba kama unaweza pia kuwaomba wadau wako wanishauri nitumie nini ili niweze kuwa na ngozi nzuri, mi si mweupe sana ila nina ngozi laini yenye mafuta.
I have very very very very oily skin, and my makeup comes off within a few minutes, I feel like I am just wasting my makeup. I need SOMETHING that will help it stay on! Please I really need your advice.
Samahani nimechanganya lugha maana najua wengine wanaotembeleawebsite yako hawajui Kiswahili. Mi niko Tanzania, Dar es salaa, Tafadhali usiweke email yangu.
0 comments:
Post a Comment