The outfit it is a size 14 goodluck.
|
---|
|
---|
WAREMBO KIVAZI CHETU CHA LEO NI SIZE 12.
OH,THAT'S NICE!!!
HELLO EVERYONE,IT REALLY IS A BEAUTIFULLY OUTFIT.
Mashost wangu kwanza niwaombe radhi kwa kuwa kimya hizi siku 2 siunajua tena weekend ilikuwa ndefu mambo ya bank holiday basi mmh! nilikuwa busy kidogo lakini msijali nimerudi kama kawa.
Haya kivazi chetu cha leo ni perfect for office wear ni size 16 special kwa mashost wapenda skirt ndefu, lakini hata wale wa min skirt nao zao zipo kila mtu na choice yake wewe wahi tu kama ni size yako.
Thanks for looking.