
|
---|
|
---|
MMMM! NICE!!!
Posted by
kopor
on Saturday, August 9, 2008
/
Haya warembo mambo hayo rangi ni mustard in green and white ukitinga hivi vyote kuanzia chini mpaka juu, utatoka chichaaa.... vyote vyapatikana dukani kwetu kivazi cha leo ni size 12/14 karibuni sana! mambo yote passion4fashion bwana. 

0 comments:
Post a Comment