|
---|
|
---|
THIS IS A LOVELY COMBAT SHIRT DRESS!
Posted by
kopor
on Friday, August 15, 2008
/
Haya warembo, mambo ya leo nimewapendelea wenye size kubwa kidogo leo ni size 18 kazi kwenu nani atawahi? juu kuna combat shirt dress, ikienda na black legging na chini kiatu umekiona? hasa kwa wenye miguu inayotoa jasho hicho kinapitisha hewa...wahi sasa.
0 comments:
Post a Comment