Well what can i say, natumaini kila mmoja wetu ame enjoy weekend vizuri, ni mwanzo mwa wiki nyingine ni vizuri tukaianza na vitu vizuri vitu ile kitu roho inataka basi leo ni mambo ya black and white,long skirt,white blouse kiatu na handbag changanya black bango na vihereni vizuri ukitinga kama vilivyo kuanzia chini mpaka juu mmh, ni wewe tu chicha ile mbaya.
kivazi cha leo ni size 12/14 goodluck...karibu sana.
|
---|
|
---|
0 comments:
Post a Comment