Inasikitisha sana juzi nilitoa habari ya hawa watoto inafanana tu na habari ya huyo mtoto wa kiafrika hapo chini, leo nimeangalia tena kwenye news wakati akihojiwa huyo mtoto kweli roho imeniuma sana mpaka nimeirudia tena kuitoa ,haka ni katoto kabisa hata sauti yake bado kabisa ni yakitoto, na wamesema huenda sio baba wa huyo mtoto ngoja tusubiri matokeo lakini kama ni baba wa huyo mtoto kweli tunakaribia mwisho wa dunia.
|
---|
|
---|
0 comments:
Post a Comment