
|
---|
|
---|
A TANZANIAN LADY CARRYING HER CHILD ON A LEATHER TRADITIONAL BABY CARRY CASE.
Posted by
kopor
on Wednesday, February 25, 2009
/
Nimeipenda sana hii picha ya mama na mwanae, hasa hiyo mbeleko yake.......mwaaaaaa! Kwa wenzetu wanathamini sana vitu kama hivi,ukipeleka kwenye mnada hii unapata mamilion ya pesa hapo.Asante ya picha kwa Mjengwa.


0 comments:
Post a Comment